Akika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Akika ni sherehe kati ya Waislamu anayofanyiwa mtoto anapofikisha umri wa siku saba ambapo hunyolewa kwa mara ya kwanza, mbuzi huchinjwa na mifupa yake kufukiwa mizima.

Akika ni pia jina la dua anayosomewa mtoto siku hiyo na la nyama inayoliwa kumshangilia.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.