Aisha Taymur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Aisha Taymur
Picha ya Aisha Taymur

Aisha Taymur (kwa Kiarabu: عائشة عصمت تيمور‎ au Aisha al-Taymuriyya عائشة التيمورية‎; 18401902) alikuwa mwanaharakati wa kijamii,mshairi, mwandishi wa riwaya na mwanaharakati wa haki za binadamu wa nchini Misri katika enzi za milki ya Ottoman.[1] Mwanzoni mwa karne ya 19 alijishughulisha na kutetea haki za wanawake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-21. Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aisha Taymur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.