Ahmed Adaweyah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmed Adaweyah, ni mwigizaji na mwimbaji maarufu wa muziki wa Sha'abi wa nchini Misri. Pia aliigiza katika filamu 27 za Misri.

Ahmed Adaweya's photo
Ahmed Adaweyah (2014)

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Adaweyah alizaliwa mnamo 1945 katika Mkoa wa Minya, Misri, kwa mfanyabiashara wa mifugo, alikua na ndugu 14, [1] Baadae alihamia Cairo na kuanza kufanya kazi kama mhudumu wa mgahawa, huku pia akiimba nyimbo huko Cairo mwaka 1969. Rekodi zake ziliuzwa sana na zilisambazwa kupitia kaseti ya sauti mitaani.

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Adaweyah alioa mnamo 1976, ana binti mmoja, Warda, na mtoto wa kiume, Mohammed, ambaye pia ni mwimbaji. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "عدوية.. تاريخ الشارع المصري في أغاني شعبية "رغم أنف المثقفين"". sasapost.com (kwa Arabic). 9 December 2016. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-13. Iliwekwa mnamo 2022-05-03.  Check date values in: |date= (help)
  2. "قصة أحمد عدوية تعود للأضواء: غيرة أمير كويتي وهيروين وإخصاء وزوجة تؤكد على رجولته". elfann.com (kwa Arabic). 19 May 2019.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Adaweyah kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.