Nenda kwa yaliyomo

Agnes Ntube Ndode

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agnès Ntube Ndode ni mwanamke mfanyabiashara na mwanasiasa kutoka Kameruni ambaye amekuwa seneta tangu mwaka 2013. Alichaguliwa kuwa raisi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Kameruni (GFAC) mwaka 2015.

Ndode ni seneta kutoka katika Kanda ya Kusini Magharibi ya Cameroon. Ana uhusiano na chama cha RDPC na alichaguliwa tena kuwa seneta kwa mara ya tatu mnamo Machi 2023.[1][2]

Alimrithi marehemu Francoise Foning kama kiongozi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali wa Cameroon mnamo 29 Septemba 2015. Kabla ya kuteuliwa katika nafasi hiyo, Ndode alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa shirika hili kwa kipindi cha miaka 7 na rais wa tawi la GFAC katika kanda yake kwa muda wa miaka 24.[3][4][5]

Maisha Binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Ndode ameolewa na Bwana Ndjock.

  1. Actuel, Cameroun (2023-04-03). "Sénateurs et opérateurs économiques : qui sont-ils ?". Camerounactuel (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
  2. "Sud-Ouest : on a pris les mêmes". www.cameroon-tribune.cm (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
  3. "Agnès Ntube Ndode, présidente du Groupement des femmes d'affaires du Cameroun". Journal du Cameroun (kwa Kifaransa). 2015-10-02. Iliwekwa mnamo 2023-05-13.
  4. Cameroon-Tribune (2 Oktoba 2015). "Agnès Ntube Ndode succède à Françoise Foning à la tête du GFAC". Iliwekwa mnamo 13 Mei 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Communication, cameroun24 net-Master. "Agnès Ntube Ndode prend les rênes du Groupement des femmes d'affaires du Cameroun". cameroun24.net. Iliwekwa mnamo 2023-05-13.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agnes Ntube Ndode kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.