Afrotraction

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mzwandile Moya (alizaliwa Aprili 16, 1983) anafahamika kwa jina la Sanaa kama Afrotraction, ni mtayarishaji na [[mwanamuziki]] wa R&B wa Afrika ya Kusini. Moya anatokea katika familia ya kimuziki na kupenda kwake muziki ilianzia utotoni. Moya alijifunza piano mwenyewe na uimbaji katika lugha ya Kiswazi katika staili ya neo soul na R&B.[1][2] Albamu yake ya For The Lovers (2014), ilikuwa albamu bora katika R&B/Soul/Rege kwenye tuzo za karne ya 21 ya muziki wa Afrika Kusini. Relationships albamu yake ya pili iliyoachiliwa mwaka 2017, inahusisha nyimbo kama Ngiphelele, Ngeke K’lunge, Ngimtholile, Angeke, Imali Yamalobolo nayo pia ilikuwa albamu bora yenye mauzo zaidi.[3]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu za Studio[hariri | hariri chanzo]

 • Soul Deep (2009)
 • Soulfully Yours (2012)
 • For The Lovers (2014)
 • Love & Respect (2016)
 • Relationships (2017)
 • The Gospel Of Afrotraction: Moya Movement (2020)
 • The Launch of JazzYano (2021)

studio EP's[hariri | hariri chanzo]

 • Love Over Dose (L.O.D EP) (2019)

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Tuzo Jamii Matokeo Marejesho
2013 Tuzo za 14th Metro FM Albamu bora ya Afro-pop For the Lovers Ilishinda [4]
2018 Tuzo za karne ya 21 ya Afrika Kusini Albamu bora ya R&B/Soul/Rege For the Lovers Ilishinda [5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Afrotraction at Montecasino". Montecasino.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-23. Iliwekwa mnamo 18 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
 2. Boitumelo Tlhoaele. "Album Review: Afrotraction - 'Soul Deep' - Times LIVE". Times LIVE. Iliwekwa mnamo 18 November 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
 3. "WATCH: Afrotraction - As'jabule Music video". 14 November 2017. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-23. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
 4. "WINNERS of 14th Metro FM Music Awards | YoMzansi". YoMzansi. Iliwekwa mnamo 2015-02-28. 
 5. "The full list of SAMA nominees". news24.com. 20 April 2018.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afrotraction kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.