Adetona Omokanye
Mandhari
Adetona Omokanye (amezaliwa Erin-Ile, jimbo la Kwara, Nigeria, 17 Julai 1990) ni mpiga picha mbunifu wa Nigeria. Kwa sasa anaishi Toronto, Kanada, akitokea Lagos, Nigeria mnamo 2020. [1][2]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Omokanye alihitimu na kupata Shahada ya Sayansi (Bachelor of Science) katika Sayansi ya Baharini katika Chuo Kikuu cha Lagos mwaka 2013. Baadaye aliendelea na masomo ya Uzamili (Master of Science) katika uchafuzi wa baharini na usimamizi wa mazingira katika taasisi hiyo hiyo mwaka 2017.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CAP Prize – International Prize for Contemporary African Photography". CAP Prize (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-10-17. Iliwekwa mnamo 2022-05-17.
- ↑ "About – Adetona Omakanye" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-05-17.
- ↑ "Adetona Omokanye". Bakanal de Afrique 2020 (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-05-17.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adetona Omokanye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |