Mbuyu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Adansonia)
Kwa maana tofauti ya jina hili angalia hapa Mbuyu (maana)
Mbuyu (Adansonia digitata) | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Mbuyu (Adansonia digitata) ni mti mkubwa wa ukanda wa tropiki. Matunda yake yanaitwa mabuyu, gamba la tunda linaitwa kibuyu na ubuyu ni nyama ya tunda.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Majani ya mbuyu
-
Ua la mbuyu
-
Mabuyu
-
Kibuyu na ubuyu
-
Ubuyu sokoni
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mbuyu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |