Adam Aznou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adam Aznou Ben Cheikh (alizaliwa Barcelona, Hispania, 2 Juni 2006) ni mchezaji wa soka wa Hispania-Moroko, anayecheza kama beki wa kushoto na kiungo wa kushoto katika klabu ya Ujerumani Bayern Munich U17.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Aznou alizaliwa na wazazi kutoka Moroko.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Aznou alianza kazi yake na Damm, kabla ya kuhamia kwenye akademi ya Barcelona ya La Masia mwaka 2019.[2] Mwaka wa 2022, baada ya kukataa ofa kadhaa kutoka vilabu barani Ulaya, Aznou alihamia klabu ya Ujerumani ya Bayern Munich.[3][4] Mnamo Machi 2023, alifanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Bayern Munich kwa mara ya kwanza.[5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. FC Bayern verpflichtet Nachwuchsspieler Adam Aznou (German) (28 July 2022). Iliwekwa mnamo 24 March 2023.
  2. Martínez, Ferran (27 May 2022). El Bayern de Múnich, a punto de firmar a su primera perla de La Masia (Spanish). Iliwekwa mnamo 24 March 2023.
  3. Offiziell: Aznou wechselt von Barça zu Bayern (German) (28 July 2022). Iliwekwa mnamo 24 March 2023.
  4. El Bayern Múnich ficha a Adam Aznou, de 16 años, del Barcelona (Spanish) (28 July 2022). Iliwekwa mnamo 24 March 2023.
  5. Ben Berkane, Hanif (4 March 2023). [https://www.footmercato.net/a2387498392780448895-bayern-munich-adam-aznou-la-pepite-marocaine-qui-toque-deja-a-la-porte -des-pros Bayern Munich : Adam Aznou, la pépite marocaine qui toque déjà à la porte des pros] (French). Iliwekwa mnamo 24 March 2023.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adam Aznou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.