Achille Emaná

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Achille Emana cropped.jpg

Achille Emaná (alizaliwa 5 Januari 1982) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kamerun. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Kamerun.

Emaná ameichezea timu ya taifa ya Kamerun tangu mwaka wa 2003. Emaná alicheza Kamerun katika mechi 41, akifunga mabao 6.[1]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

[1]

Timu ya Taifa ya Kamerun
Mwaka Mechi Magoli
2003 3 0
2004 2 0
2005 1 0
2006 2 0
2007 1 0
2008 11 2
2009 6 2
2010 10 1
2011 1 0
2012 3 1
2013 1 0
Jumla 41 6

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Achille Emaná at National-Football-Teams
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Achille Emaná kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.