Abu Bakari (mshairi)
Mandhari
Abu Bakari | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Abu Bakari |
Alizaliwa | Karne ya 18 |
Alikufa | Karne ya 18 |
Nchi | Kenya |
Kazi yake | Mwandishi |
Abu Bakari (alizaliwa na kufariki mjini Pate, karne ya 18) alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Pate. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili.
Alikuwa Mwafrika, tena wa Kibantu, mwana wa Bwana Mwengo aliyekuwa mshairi mjini Pate.
Alijulikana kuandika Utendi wa Katirifu na Utendi wa Fatuma. Pia alinakili Utendi wa Tambuka wa Bwana Mwengo.
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Aliandikia vitabu vyake kwa sultani wa Pate.
Vitabu vyake
[hariri | hariri chanzo]- Utendi wa Katirifu
- Utendi wa Fatuma
Mistari ya Utendi wa Katirifu
[hariri | hariri chanzo]Wakateusha yeo charejea
Ururuni kikangia
Shujaa hunyenyekea
Kama kali ya hanjari.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Knappert, J. (1982). Four Centuries of Swahili Verse.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abu Bakari (mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |