Abdi Banda
Mandhari
(Elekezwa kutoka Abdi banda)
Abdi Banda, (alizaliwa Mkoa wa Tanga, 20 Mei 1995), ni mchezaji wa soka nchini Tanzania.
Kwa sasa anachezea timu ya taifa. Taifa Stars ni beki wa klabu ya Baroka FC .Akitokea Simba Sc ya Tanzania.(24 / beki)[1][2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Abdi Banda at National-Football-Teams.com
- ↑ Abdi Banda, tovuti ya Soccerway, iliangaliwa mwaka 2018
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdi Banda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |