Abbie Reynolds

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abbie Reynolds ni mtetezi wa hoja ya mabadiliko ya hali ya hewa nchini New Zealand.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Reynolds alipokuwa shule ya upili alianzisha mpango wa kuchakata karatasi wakati athari za mabadiliko ya hali ya hewa hazikujulikana.[1]Alipata shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Auckland.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Catherall, Sarah (27 October 2019). "Sustainability "just makes good business sense" – how two women are making a difference". Sunday Star Times. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 October 2019. Iliwekwa mnamo 2020-03-25.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abbie Reynolds kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.