30 kwa 30

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

30 kwa 30 (au 30x30) ni mpango wa Dunia nzima kwa serikali kutenga 30% ya ardhi na bahari kama maeneo yanayotunzwa ufikapo mwaka 2030.[1] [2]

Lengo lilipendekezwa na makala ya 2019 katika Science Advances, ikionesha hitaji la kupanua juhudi za kuhifadhi mazingira kupunguza mabadiliko ya tabianchi.[3] [4] Ilizinduliwa na High Ambition Coalition mwaka 2020, Zaidi ya mataifa 50 yalikubaliana na mpango huu mnamo Januari 2021[5] ambao ulipanuliwa kwa zaidi ya nchi 70 mnamo Oktoba mwaka huohuo. 30 kwa 30 ilitangazwa kwenye kikao cha COP15 cha Convention on Biological Diversity.[6] Hii ilihusisha G7[7] na Umoja wa Ulaya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Land, Thomas (1979-02). "Culture Becomes a Diplomatic Battleground". Worldview 22 (1-2): 29–30. ISSN 0084-2559. doi:10.1017/s0084255900051664.  Check date values in: |date= (help)
  2. FROST, RAYMOND (2009-05-01). "THE 30 PER CENT LIQUIDITY RATIO". Bulletin of the Oxford University Institute of Economics & Statistics 15 (1): 25–30. ISSN 0140-5543. doi:10.1111/j.1468-0084.1953.mp15001002.x. 
  3. Dinerstein, E.; Vynne, C.; Sala, E.; Joshi, A. R.; Fernando, S.; Lovejoy, T. E.; Mayorga, J.; Olson, D.; Asner, G. P. (2019-04-05). "A Global Deal For Nature: Guiding principles, milestones, and targets". Science Advances (kwa Kiingereza) 5 (4): eaaw2869. ISSN 2375-2548. PMC PMC6474764 Check |pmc= value (help). PMID 31016243 Check |pmid= value (help). doi:10.1126/sciadv.aaw2869. 
  4. Benji Jones (2021-04-12). "The hottest number in conservation is rooted more in politics than science". Vox (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  5. Thomson Reuters Foundation. "Drive to protect 30% of planet by 2030 grows to 50 nations". news.trust.org. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  6. "High Ambition Coalition for Nature and People". HAC for Nature and People (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
  7. "G7 commits to end support for coal-fired power stations this year". euronews (kwa Kiingereza). 2021-05-21. Iliwekwa mnamo 2022-05-07. 
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 30 kwa 30 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.