Şebnem Taşkan
Şebnem Taşkan (alizaliwa Oktoba 26, 1994) ni mchezaji wa soka wa nchini Uturuki na ambaye anacheza kama kiungo kwenye klabu ya wanawake ya Bramfelder SV nchini Ujerumani. Ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Uturuki.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sebnem Taskan (German). FuPa Algemeine Zeitung. Iliwekwa mnamo 8 April 2017.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Şebnem Taşkan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |