Łukasz Fabiański

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lukasz Fabianski.

Lukasz Marek Fabiański (matamsi ya Kipolandi: wukaʂ fabʲaɲskʲi; alizaliwa 18 Aprili 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kipa katika klabu ya West Ham United na timu ya taifa ya Poland.

Fabiański alijiunga na Arsenal kwa £ 2.1 milioni mwaka 2007, na alikuwa akitumiwa kama mlinda goli na klabu ilishinda fainali ya Kombe la FA 2014. Baada ya mkataba wake kuisha mwaka 2014, alijiunga na Swansea.

Fabiański alijumuishwa katika kikosi cha Kombe la Dunia ya FIFA ya 2006 na UEFA Euro 2008.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Łukasz Fabiański kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.