Nenda kwa yaliyomo

Maurice Jarre

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:48, 10 Aprili 2010 na Muddyb (majadiliano | michango) (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Maurice-Alexis Jarre''' (13 Septemba, 192428 Machi, 2009)<ref name=LATObit>{{cite news|title=Maurice Jarre dies at 84; composer for 'Lawren...')
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Maurice-Alexis Jarre (13 Septemba, 192428 Machi, 2009)[1][2][3][4] alikuwa mtunzi wa vibwagizo vya filamu na mwongozaji muziki wa vyombo vingi kutoka nchini Ufaransa.

Japokuwa ametunga tungo kadhaa kwa ajili ya kazi za maonyesho ya muziki, alifahamika sana kwa utunzi wake wa vibwagizo vya filamu, na hasa kwa kufanya kazi pamoja na mwongozaji David Lean. Jarre ametarishaji vibwagizo karibuni vya filamu zote za Lean tangu Lawrence of Arabia (1962). Vibwagizo vingine maarufu ni pamoja na The Message (1976), Dead Poets Society (1989) na Ghost (1990). Jarre alizawadiwa nyota katika Hollywood Walk of Fame.[5]

Marejeo

  1. McLellan, Dennis. "Maurice Jarre dies at 84; composer for 'Lawrence of Arabia'", Los Angeles Times, March 31, 2009. Retrieved on March 31, 2009. 
  2. Weber, Bruce. "Maurice Jarre, Hollywood Composer, Dies at 84", The New York Times, March 31, 2009. Retrieved on March 31, 2009. 
  3. allmusic Biography
  4. « Epic Composer Maurice Jarre Dies at 84 », peoplestar.co.uk, March 30, 2009.
  5. Maurice Jarre (I) - Biography

Viungo vya Nje