Nenda kwa yaliyomo

Ayo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:


==Marejeo ya Nje==
==Marejeo ya Nje==
[http://ayomusic.artistes.universalmusic.fr Tovuti yake]
*[http://ayomusic.artistes.universalmusic.fr Tovuti yake]
*[http://wc09.allmusic.com/cg/amg.dll?p=amg&searchlink=AYO&sql=11:3pfqxqt0ldje~T0 Ukurasa wake kwa allmusic]



[[Category:Wasanii wa Ujerumani]]
[[Category:Wasanii wa Ujerumani]]

Pitio la 11:57, 28 Oktoba 2007

Ayo.

Joy Olasunmibo Ogunmakin amezaliwa 14 Septemba 1980 katika kitongoji cha mji wa Cologne, Ujerumani. Ana asili wa nchanganyiko: yeye ni binti wa baba Mnigeria na mama anayetoka Romania.

Maisha

Anatumbuiza kwa kutumia jina la kisanii la Ayọ au Ayo. maana yake ni "furaha" kwa Kiyoruba. (bila nukta chini au baada ya "o" neno lamaanisha "kitungu" katika lugha hiyo).

Aliwahi kuishi Ujerumani, Nigeria, Ufaransa, Uingereza na Marekani. Anaishi pamoja na mwimbaji Mjerumani wa muziki ya Reggae Patrice Bart-Williams ("Babatunde") na mtoto wao wa pamoja Nile (*2005)

Albamu

Albamu yake ya kwanza, 'Joyful', imetolewa mwaka wa 2006. Katika Poland na hata Ufaransa imekuwa ikiuzwa nakala lukuki.

Vibao vyake vilivyo maarufu ni pamoja na 'Down on my knees' ('Nikikupigia Magoti', 2006) na 'And It's Supposed To Be Love' ('Na Hayo Yaelekea Kuwa Mapenzi', 2007).

Marejeo ya Nje