Nenda kwa yaliyomo

Tairi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kipala alihamisha ukurasa wa Tairi hadi Tairi (nyota)
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
<sup>Kwa Tairi kama jina la nyota inayoitwa kwa Kiingereza Altair angalia hapa [[Tairi (nyota)]]</sup>
#REDIRECT [[Tairi (nyota)]]
[[Picha:Car tires.jpg|300px|thumb|Matairi ya magari]]
'''Tairi''' ([[ing.]] ''[[:en:tyre]]'') ni sehemu ya nje ya [[gurudumu]]. Hapo tunatofautisha [[rimu]] na tairi ilhali rimu ni sehemu ya ndani ya gurudumu.

Kwa kawaida tairi hutengenezwa kwa mpira au dutu nyingine nyumbufu. Mara nyingi tairi huwa na nafasi ndani yake inayojaa [[hewa]] yenye shinikizo la juu. Hivyo tairi inaweza kusharabu mishtuko kutokana na mashimo au miinuko njiani na hivyo kuleta mwendo nyororo wa gari.

Uso wa nje wa tairi una [[tredi]] maana yake kuna mifereji na matuta madogo yenye kazi ya kuboresha tabia za kulenga na kutoteleza kwenye uso wa njia.


==Viungo vya Nje==
{{Commons category|Tires}}
* [http://www.nhtsa.gov/DOT/NHTSA/Vehicle%20Safety/Articles/Associated%20Files/brochure.pdf National Highway Traffic Safety Adm "Tire Safety" Brochure]
* [http://www.safercar.gov/Tire U.S. Government tire rating and maintenance site.]

* [https://www.carid.com/articles/tire-basics-for-dummies.html%20Tyre%20basics%20for%20dummies https://www.carid.com/articles/tire-basics-for-dummies.html Tyre basics for dummies]

[[jamii:Vifaa]]

Pitio la 10:36, 21 Novemba 2017

Kwa Tairi kama jina la nyota inayoitwa kwa Kiingereza Altair angalia hapa Tairi (nyota)

Matairi ya magari

Tairi (ing. en:tyre) ni sehemu ya nje ya gurudumu. Hapo tunatofautisha rimu na tairi ilhali rimu ni sehemu ya ndani ya gurudumu.

Kwa kawaida tairi hutengenezwa kwa mpira au dutu nyingine nyumbufu. Mara nyingi tairi huwa na nafasi ndani yake inayojaa hewa yenye shinikizo la juu. Hivyo tairi inaweza kusharabu mishtuko kutokana na mashimo au miinuko njiani na hivyo kuleta mwendo nyororo wa gari.

Uso wa nje wa tairi una tredi maana yake kuna mifereji na matuta madogo yenye kazi ya kuboresha tabia za kulenga na kutoteleza kwenye uso wa njia.


Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: