Nenda kwa yaliyomo

Zoltán Trepák

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zoltán Trepák
Maelezo binafsi
Jina la utani (ma)Trepi
NchiHungaria
Tarehe ya kuzaliwa20 Februari 1977 (1977-02-20) (umri 47)
Mahala pa kuzaliwaBudapest, Hungaria
Urefuft. 6.11 (2008)
Uzitokg 102 (2008)
Mchezo
NchiHungaria
Mchezobasketball
KlabuZalakerámia ZTE
TimuZalakerámia ZTE (2008-)
Mafanikio na mataji
Mchezaji wa mpira wa kikapu Zoltán Trepák

Zoltán Trepák (amezaliwa tar. 20 Februari 1977 mjini Budapest, Hungaria) ni mchezaji mpira wa kikapu wa kulipwa kutoka nchini Hungaria.[1]

Shughuli

[hariri | hariri chanzo]

Alianza kucheza mpira wa kikapu huko mjini Csepel, lakini baada ya mwaka mmoja ile timu aliokuwa akichezea ikatoweka katika uwanja wa michezo, na akelekea katika timu ya Falco KC ambayo ipo mjini Szombathely. Akiwa kule alitumia miaka mitatu, kisha baadaye akaja kuchezea miaka mitatu kule mjini Szolnok.

Miaka kadhaa baadaye akaingia mkataba na Kaposvár kwa muda wa miaka mitatu. Akiwa bado anaichezea Szolnok, akabahatika kuichezea timu ya taifa, mnamo 2001. Baada ya miaka sita, akacheza tena kule, na sasa ni mchezaji aliyeichezea timu ya taifa kwa mara zipatazo 15.

Baada ya Kaposvár akacheza katika Nyíregyháza, kati ya 2006 na 2008, mnamo 2008 alienda zake Zalaegerszeg.

Tarehe 10 Januari 2008, amecheza mechi yake kali kati ya Waslovakia na Spišská Nová Ves, amepata pointi 28[1][2]

Klabu zake

[hariri | hariri chanzo]
  • 1995-1996 - Csepel
  • 1996-1999 - Falco KC (Szombathely)
  • 1999-2003 - Szolnoki Olaj KK (Szolnok)
  • 2003-2006 - Kaposvári KK (Kaposvár)
  • 2006-2008 - Marso-Vagép NYKK (Nyíregyháza)
  • 2008- - Zalakerámia ZTE KK (Zalaegerszeg)
  1. 1.0 1.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-14. Iliwekwa mnamo 2009-06-24.
  2. Élete legjobbját teljesítette

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zoltán Trepák kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.