Ziwa Kitagata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Kitagata ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Kasese) lililopo katika kasoko ya volikano[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. httpsː//mapcarta.com

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya maziwa ya Uganda