Ziwa Saka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Saka ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Kabarole).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]