Yohane Wang Guixin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Yohane Wang Guixin (Nangong, 1875 hivi - Nangong, 14 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyeona afadhali kufia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia kuliko kusema uongo usiodhuru mtu[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.