Yemane Ghebremichael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yemane Ghebremichael (alizaliwa Januari 21, 1949 - Novemba 5, 1997), pia alijulikana sana kama Yemane Baria au Yemane Barya ) alikuwa mtunzi, na mwimbaji mashuhuri wa Eritrea . Alikua mmoja wa wasanii mashuhuri wa Eritrea [1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Utunzi wa nyimbo wa Yemane ulijitahidi kuakisi maudhui ya kile alichoona wakati wa Vita vya Uhuru wa Eritrea . Pia nyimbo zake zilikuwa na hadithi za mapenzi, safari, matumaini, uhamiaji na ukombozi. Mnamo 1975, alifungwa kwa tafsiri ya masuala kisiasa katika moja ya nyimbo zake. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ph.D, Mussie Tesfagiorgis G. Eritrea (kwa Kiingereza). ABC-CLIO. ISBN 9781598842326. 
  2. Mussie Tesfagiorgis G (2011). Eritrea (Africa in Focus). ABC Clio. uk. 255. ISBN 1-59884-231-5. 
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yemane Ghebremichael kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.