Wizara ya Kazi na Ajira
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana)
Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana (Kiingereza: Ministry of Labour, Employment and Youth Development) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |