Wizara za Serikali ya Tanzania
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hii ni orodha ya Wizara za Serikali ya Tanzania:
| Wizara | Kiingereza | Waziri | Tovuti |
|---|---|---|---|
| Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii | Ministry of Health and Social Welfare | moh.go.tz/ | |
| Wizara ya Ardhi | Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Developments | Capt. John Z. Chiligati | ardhi.go.tz |
| Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi | Ministry of Education and Vocational Training | Hon. Prof. Jumanne A. Maghembe | moe.go.tz |
| Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia | Ministry of Higher Education, Science and Technology | * | |
| Wizara ya Fedha na Uchumi | Ministry of Finance and Economic Affairs | Mhe. Mustafa Haidi Mkulo | mof.go.tz |
| Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo | Ministry of Information, Culture and Sports | hum.go.tz | |
| Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana | Ministry of Labour, Employment and Youth Development | * | |
| Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika | Ministry of Agriculture, Food and Cooperatives | Mhe. Stephen Masato Wasira (Mb.) | kilimo.go.tz |
| Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto | Ministry of Community Development, Gender and Children | mcdgc.go.tz | |
| Wizara ya Maji na Umwagiliaji | Ministry of Water and Irrigation | Prof. Mark Mwandosya (MP) | maji.go.tz |
| Wizara ya Maliasili na Utalii | Ministry of Natural Resources and Tourism | mnrt.go.tz | |
| Wizara ya Mambo ya Ndani | Ministry of Home Affairs | Hon. Lawrence K. Masha (MP) | moha.go.tz |
| Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa | Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation | Hon. Bernard Kamilius Membe (MP) | mfaic.go.tz |
| Wizara ya Mawasailiano, Sayansi na Teknolojia | Ministry of Communication, Science and Technology | * | |
| Wizara ya Mifugo na Uvuvi | Ministry of Livestock Development and Fisheries | * | |
| Wizara ya Miundombinu | Ministry of Infrastructure Development | Hon. Dr. Shukuru Kawambwa | infrastructure.go.tz |
| Wizara ya Nishati na Madini | Ministry of Energy and Minerals | Dk. William Ngeleja | * |
| Wizara ya Sheria na Katiba | Ministry of Justice and Constitutional Affairs | [1] | |
| Wizara ya Ulinzi na Usalama wa Taifa | Ministry of Defence and National Service | * | |
| Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki | Ministry of East African Cooperation | Hon.Dr. Diodorus B. Kamala (MP) | meac.go.tz |
| Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko | Ministry of Industry, Trade and Marketing | Hon. Dr.Mary Nagu (MP) | mitm.go.tz |