Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (Kiingereza: Ministry of Community Development, Gender and Children kifupi (MCDGC)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Marejeo [hariri]

Tazama pia [hariri]

Viungo vya nje [hariri]