Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Wizara ya Ulinzi na Usalama wa Taifa (kwa Kiingereza: Ministry of Defence and National Service) ni wizara ya serikali ya Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hiyo ipo Dodoma.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |