Wilaya ya Gairo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Gairo ni jina la wilaya mpya katika mkoa wa Morogoro, ambayo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012.

Makao makuu ya wilaya yako Gairo.