Chagongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chagongwe ni kata ya Wilaya ya Gairo katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67704.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 14,391 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,302 [2] waishio humo.

Kata hii ya utawala inahusisha vijiji viwili ambavyo ni Lufikiri na Amakobwe. Kuna zahanati ya serikali [3] pamoja na shule ya msingi. Pia kata hiyo ina barabara moja ya kwenda mjini Morogoro lakini barabara za kata hiyo ni mbovu sana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Gairo - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Chagongwe | Chakwale | Chanjale | Chigela | Gairo | Idibo | Italagwe | Iyogwe | Kibedya | Leshata | Madege | Magoweko | Mandege | Mkalama | Msingisi | Nongwe | Rubeho | Ukwamani


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chagongwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.