Wilaya ya Kilosa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kilosa katika mkoa wa Morogoro.
Wilaya ya Kilosa ni wilaya moja ya Mkoa wa Morogoro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 489,513 [1].
Marejeo [hariri]
Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa
| Kata za Wilaya ya Kilosa - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Berega | Chagongwe | Chakwale | Chanjale | Chanzuru | Dumila | Gairo | Iyogwe | Kasiki | Kibedya | Kidete | Kidodi | Kilangali | Kimamba 'A' | Kimamba 'B' | Kisanga | Lubuji | Luhembe | Lumuma | Mabwerebwere | Magole | Magomeni (Kilosa) | Magubike | Malolo (Kilosa) | Mamboya | Mandege | Masanze | Mbumi | Mikumi | Mkwatani | Msowero | Rubeho | Rudewa | Ulaya (Kilosa) | Uleling'ombe | Vidunda | Zombo |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilosa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |