Nenda kwa yaliyomo

Wikimania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wikimania 2007)
Alama ya Wikimania
Nembo la Wikimedia Foundation

Wikimania ni tukio la kila mwaka la kimataifa wa Wikimedia. Mkutano wa kwanza wa Wikimania, ulifanyika mwaka 2005 huko nchini Ujerumani. Mkutano huu ulifanyika tarehe 4 Agosti, 2006 huko Cambridge, Massachussetts, Marekani. Wikimania ni mkutano wa kijamii na kisayansi ambao utajumuisha washiriki wa Miradi ya Wikimedia ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za tafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.

Mkutano huu hutoa nafasi pia kwa washiriki wa miradi ya Wikimedia kukutana na kubadilishana mawazo na umma kuhusu miradi ya zana huria za teknolojia, maarifa huria na miradi ya wiki duniani.

Mkutano wa Wikimania 2007 ulifanyika kwa mara ya tatu kuanzia tarehe 3-5 Agosti, katika mji wa Taipei, Taiwan. Mkutano wa kwanza wa Wikimania 2005ulifanyika nchini Ujerumanikuanzia tarehe 4-8 August. Mkutano wa pili waWikimania 2006 ulifanyika 4-6 Agosti huko Cambridge, Massachussetts, Marekani.

Wikimania ni mkutano wa kijamii na kisayansi ambao unajumuisha washiriki wa Miradi ya Wikimedia ili kubadilishana mawazo, kujenga mahusiano, na kutoa taarifa za utafiti na juhudi mbalimbali za miradi hiyo.

Mkutano huu hutoa nafasi pia kwa washiriki wa miradi ya Wikimedia kukutana na kubadilishana mawazo na umma kuhusu miradi ya zana huria za teknolojia, maarifa huria na miradi ya wiki duniani.

Overview

[hariri | hariri chanzo]
Mikutano ya Wikimania Tangu Kuanza kwake
Mkutano Tarehe Pahala Bara Mahudhurio Uwasilishaji
Wikimania 2005 August 5–7 Ujerumani Frankfurt, Germany Europe

   

380
slides, video
Wikimania 2006 August 4–6 Marekani Cambridge,Massachusetts, United States North America

   

400[1]
Wikimania 2007 August 3–4 Republic of China Taipei, ROC (Taiwan) Asia

   

440[2]
Commons gallery
Wikimania 2008 July 17–19 Misri Alexandria, Egypt Africa

   

650[3]
abstracts Ilihifadhiwa 6 Februari 2011 kwenye Wayback Machine.
Wikimania 2009 August 26–28 Argentina Buenos Aires, Argentina South America

   

559
slides, video
Wikimania 2010 July 9–11 Poland Gdańsk, Poland Europe

   

about 500
slides
Wikimania 2011 August 4–7 Israel Haifa, Israel Asia

   

720
presentations, video
Wikimania 2012 July 12–15 Marekani Washington, D.C., United States North America

   

1,400[onesha uthibitisho]
presentations, videos
Wikimania 2013 August 7–11 Hong Kong Hong Kong, China Asia

   

700
slides, video
Wikimania 2014 August 6–10 United Kingdom London, United Kingdom Europe N/A
Ramani ya dunia ikionyesha sehemu ya mikutano ya Wikimania, inaonyesha pia mabara na idadi ya mikutano ilikowahi kufanyika

.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Ujerumani Wikimania 2005

[hariri | hariri chanzo]
Global Voices Panel at the 2005 conference. Shown are Hossein Derakhshan, Ting Chen, Isam Bayazidi and Milton Ainehuranga

Mkutano wa kwanza wa Wikimania ulifanyika katika mji wa Haus der Jugend at Frankfurt, Germany, kuanzia tarehe 4–8, 2005. Ambao ulivuta kiasi cha washiriki 380.

Juma la mkutano huo ulijumuisha pia siku nne za maandalizi ya awali "Hacking Days", August 1–4, ambapo kiasi cha waboreshaji 25 walijadiliana juu ya Mediawiki na namna ya uendeshaji miradi ya Wikimedia. Siku za mkutano wenyewe zilibaki kama zivyokuwa "August 4–8", yaani Ijumaa na Jumapili kwa wiki hiyo yaani tarehe 5–7.August 2005, uwasilishaji wa mada uliendelea kwa siku zote tatu.

Waendeshaji wa mkutano walikuwa Jimmy Wales, Ross Mayfield, Ward Cunningham na Richard Stallman (ambaye aliongelea masuala ya Hakimiliki na Jamii katika utandawazi wa Computer). Karibu majadiliano yote yaliendeshwa kwa lugha ya kiingereza na kidogokidog kwa lugha ya Kijerumani.

Wadhamini wa tukio hilo walikuwa Answers.com, SocialText, Sun Microsystems, DocCheck,[4] na Logos Group.

Marekani Wikimania 2006

[hariri | hariri chanzo]
Picha ya washiriki wakinywa chai wakati wa mapumziko na chakula cha mchana

Mkutano wa Wikimania kwa mwaka 2006 ulifanyika kuanzia tarehe 6 to 8, mwezi wa nane, katika ukumbi wa Harvard Law School's Berkman Center for Internet & Society in Cambridge, Massachusetts in the United States. It had about 400[1]–500[5] washiriki.

Wasemaji wa mkutano walikuwa ni Jimmy Wales, Lawrence Lessig, Brewster Kahle, Yochai Benkler, w:Mitch Kapor:Mitch Kapor, Ward Cunningham, na David Weinberger. Dan Gillmor held a citizen journalism unconference kila baada ya siku.

Hotuba zote za Wales' ziliandikwa na kuchapishwa na vyombo vingi vya habari vya Kimataifa Associated Press. Alidadavua kwa namana ambavyo Wikimedia imekuwa ikishirikisha tangu katika hali yake ya uchang na hadi kukomaa kwake, alielezea namna ambavyo mradi wa Wikipedia ulivyo sambazwa katika matumizi ya Computer w:One Laptop per Child:One Laptop per Child; pamoja na Wikiversity na hata muundo wa bodi ya ushauri ya Wikipedia uliendeshwa na kusimamiwa na ; pia ikiwemo Wiki-WYG Wikia Inc. and Socialtext.[6]

Answers.com ilikuwa ndio mdhamini mkuu wa mkutano wa Wikimania 2006, wakati huo makampuni ya Amazon.com, Berkman Center for Internet & Society ya Shule ya sheria ya Harvard, Nokia, w:WikiHoww:WikiHow were Benefactors-level sponsors, Wetpaint, Ask.com, Yahoo!, and Socialtext yote yalidhamini katika kiwango kimoja cha Udhamini, na IBM, FAQ Farm, Elevation Partners, w:One Laptop per ChildOne Laptop per Child, and the Sunlight Foundation Nayo yalidhamini kwa kiwango cha usaidizi wa wadhamini wakuu.

Kamati andazi tatu zaid ziliwasilsha tenda zao, Majiji ya London, Milan, Boston, na Toronto; ni Toronto na Boston peke yake ndizo zilifuzu kuingia mzunguko wa pili kwa kuzingatia vigezo vya waandaji wa Wikimania. Kwa jiji la Toronto wao wangefanyia katika ukumbi wa University of Toronto's Bahen Centre.

Jamhuri ya China Wikimania 2007

[hariri | hariri chanzo]
Chunghwa Telecom Udhamini wa mkutano kwa wanahabari kuhusiana na mkutano wa Wikimania 2007 in Taipei

Kama ulivyotangazwa kunako mwezi wa september 25, 2006, Wikimania 2007 was held in Taipei, Jamhuri ya watu wa China katika mkutano wa Taiwan kuanzia tarehe 3 – 5, August 2007. Ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kuendesha mafunzo kwa watoa huduma.

Timu tatu zingine ziliwasilisha tenda zao kuomba kuandaa katika miji ya London, Alexandria, and Turin. Tenda kwa ajili ya Hong Kong, Singapore, Istanbul, na Orlando ilishindwa kuweka mpangilio.

Mnamo tarehe 3, August 2007, Mwanahabari Noam Cohen waNew York Times aliandika na kueleza namna ambavyo mkutano huo uliweza kuhudhuriwa na washiriki wasiopungua 440 ukiwa na washiriki wengi kutoka katika nchi ya Taiwan, ambao walitaka kujifunza kuanzia siku za mwanzo ili kuwa na weledi katika masuala mbalimbali ya uandishi wa encyclopedia.[2] Warsha kwa njia ya matendo uilifanyika namna ya mashirikianao kwa njia ya amani, lakini pia katika kujua nay a ushiriki wa uchangiaji katika miradi yote ya kwa wale wenye weledi na wasio na weledi".[2]

Misri Wikimania 2008

[hariri | hariri chanzo]
Nukta "Wikichix" mojawapo ya mikutano

Wikimania 2008 Ulifanyika mjini Alexandria, Misri (Egypt) kuanzia tarehe 17 to 19, July 2008. Ulihudhuriwa na washiriki 650 kutoka katika nchi 45 duniani.[3] Alexandria was the location of the ancient Library of Alexandria[7] katika ukumbi wa mikutano kulikuwa na maktaba ya kisasa kabisa ya, Bibliotheca Alexandrina.

Bibliotheca Alexandrina

Mpaka kumwisho kulikuwa na miji mita, na miji mingine ya Atlanta na Cape Town. Andiko kwa ajili ya mji wa Karlsruhe, London na Toronto pia iliwasilishwa na baadaye walijiondoa wenyewe kwenye kinyang’anyilo. Kulikuwa na mkukanganyiko, ilifikia hata watu kutaka kugomea kuhudhuria Wikimania 2008 kwa sababu ya Egypt's ikituhumiwa kuendesha zoezi la kuhakiki na kuwaweka watu magerezani kwa sababu ya kuanzisha mitandapo wakati wa utawala wa Rais Husein Mubaraka wa nchi hiyo. era.[8][9] Mohamed Ibrahim, mhitimu wa Alexandria University ambaye alifanya kazi kubwa ya kupeleka mkutano huo katika jiji la Alexandria, aliongea kupitia kituo cha redio cha BBC "akisema “ nafikiri tuna haki ya kuendelea na kuwa na uhuru wa kujieleza katika kiwango cha juu." [10] moja ya lengo lake ilikuwa ni kukuza lugha ya kiarabu Arabic Wikipedia ambapo alikuwa mchangiaji mzuri tangu mwaka 2005. Waziri wa baraza la mawazi la misri ambaye alifungua mkutano kwa niaba ya rais Husein Mubaraka.[7]

Argentina Wikimania 2009

[hariri | hariri chanzo]
Jukwaa la mkutano na na bango la mkutano lililoandikwa idumu Wikimania.

Wikimania 2009 Mkutano ulifanyika Buenos Aires, Argentina, kuanzia tarehe 26–28, August 2009. Ulihudhuriwa na washiriki 559. maamuzi ya mwisho yakuwa kati ya miji ya Buenos Aires na Toronto. Brisbane na Karlsruhe pia walipendekezwa lakini baadaye walijiondoa.

Poland Wikimania 2010

[hariri | hariri chanzo]
Jimmy Wales mmojawapo ya watoa mada katika mji wa Gdańsk akisisitiza jambo

Mkutano wa Wikimania wa mwaka 2010 ulifanyika kuanzia tarehe 9–11, July katika ukumbi wa Polish Baltic Philharmonic jijini Gdańsk, Poland. Katika siku yake ya kwaqnza ya tarehe 9 august,mkutano huo ulilenga sana katika kuzungumzia mradi wa kitaaluma waWikiSym. Tenda kwa Amsterdam na Oxford Wikimania 2010 lost by a small margin.

Polish Philharmonic Orchestra wakionyesha umahiri wao katika mkutano

mkutano huu ulikuwa ndo wa kwanza kujikita katika masuala ya kiutamaduni , hasa onesho la bendi ya philharmonic orchestra, wakisherehekea miaka kumi tangu kufariki kwa mwanamuziki mtunzi wa Poland Władysław Szpilman na maonyesho ya filamu ya Truth in Numbers?. Kwenye mkutano, Sue Gardner, Mkurugenzi mtendaji wa Wikimedia Foundation, alisema kwamba lengo la foundation ni kukuza ama kuongeza namba ya watembeleaji wa tovuti ya wikimedia kutoka milioni 371 na kufikia million 680 kwa mwezi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.


Israel Wikimania 2011

[hariri | hariri chanzo]
Picha ya pamoja ya washiriki wa mkutano wa Haifa, Israel

Mkutano wa Wikimania 2011 Uilifanyika jijini Haifa, Israel, kuanzia tarehe 4–7, August. Ukumbi wa mikutano ulikuwa katika jumba la Haifa Auditorium Badala ya ukumbi wa Beit Hecht cultural center on Mount Carmel. Wasemaji katika mkutano walikuwa ni pamoja na Yochai Benkler, a fellow at the Berkman Center for Internet and Society katika Chuo Kikuu cha Harvard na Joseph M. Reagle Jr. wa MIT, mtunzi wa Good Faith Collaboration: The Culture of Wikipedia.[11] Mkuu wa kamati ya sayansi na teknologia wa Knesset, Meir Sheetrit, pia alipata nafasi ya kuzungumza katika mkutano huo Yonah Yahav, ambaye ni Meya wa jiji la Haifa.[12] Mmoja wapo wa wadhamini wa mkutano walikuwa ni Chuo Kikuu cha Haifa."Wikimania 2011-Haifa". University of Haifa. Aug 07, 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-31. Iliwekwa mnamo October 29, 2012. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help); Unknown parameter |Mtunzi= ignored (help) zaidi ya masuala 125 yalijadiliwa katika makundi manne na mkutano uklihudhuriwa na washiriki 720 Wikimedians kutoka katika nchi 56 duniani,[12] hii ilihusisha hata nchi ambazo hazina uhusiano wa kidipromasia na Israel.[13] katika mahojiano na Haaretz, Mwanzilishi waWikipedia Jimmy Wales alieleza kwamba kulikuwa na mgomo ulioitishwa na dhidi ya Israeli, kama ilivyokuwa katika mkutano wa Misri 2008. Mgogoro baina ya wahariri kuhusiana na mgogoro wa kisiasa wa Israel-Palestinian conflict,jithada zilizokuwa zikifanywa na makundi mbalimbali ya waisraelkwa lengo la kuongeza namba ya wahariri wa Wikipedia, alisema daima wahariri wa Wikipedia hawafungamani “alisisitiza” NPOV jambo hili halina mjadala.”[14]Wikimedia Foundation Mkurugenzi mtendaji Sue Gardner aliueleza mkutano kuhusu mwanamume mmoja kutoka nchi za mashariki namna ambavyo yeye hakukubaliana na Wikipedia ya leo.[15] Katika sherehe ya kufunga mkutano tarehe 7 mwezi wa Augost bwn Jimmy wales alionyesha stampu ya kwanza ya mwaka ambayo ilitengenezwa maalum na shirika la posta la Israel kama heshima kwa Wikipedia ikitimiza miaka 10 tangu kuanziswa kwake mwaka 2001.[16] Miongini mwa miradi ambayo ilijadiliwa ilikuwa ni pamoja na kushirikisha masuala ya utamaduni, Maktaba na maeneo ya makumbusho.[17] After the conference, participants were offered a free tour of Haifa, Jerusalem, w:Nazareth:Nazareth or Akko. mwenyenykiti Shay Yakir, aliyekuwa anamaliza muda wake kwa shirika la wikimedia la Israel, alisema kwa waisrael kuandaa mkutano wa wikimania mwaka 2011 kwao ilikuwa kama kuandaa michezo ya Olimpic.[18]

Marekani Wikimania 2012

[hariri | hariri chanzo]
Logo of the Wikimania 2012 conference, held in Washington DC, US
Group photo

Wikimania 2012 was held July 12–15 2012 at The George Washington University in Washington, DC. There were over 1400 attendees from 87 countries. In addition, the U.S. Department of State, in conjunction with Wikimania 2012, hosted a conference labeled Tech@State:Wiki.Gov which focused on "Collaborative knowledge and the use of wikis in the public sector".[19]

Maudhui ya mkutano huo yalikuwa ni "mahitaji ya kuboresha vya zamani na "dowdy" interface[20] pamoja na vifaa kazi vya tolwi kwa ajili ya wikimedia katika kuwahamasisha watumiaji wa tovuti za Wikimedia kuipenda na kuwa rafiki kwa watumiaji,wakiwemo pia wanawake.[21] The Atlantic featured charts displayed at the conference which showed how the number of new administrators has dropped precipitously over the last few years.[22]

Wakati wa ufunguzi wa mkutano mwanzilishi wa wikipedia ndg. Jimmy wales alizungumzia Wikipedia Blackout of January 2012, stating "Wakati nilipokutana viongozi wa kiserikali kidogo waliingiwa na hofu, hata hivyo alitanabaisha kwamba Wikimedia haifungamani na siasa ila tu katika masuala muhimu ambayo matokeo yake kwa namna moja ama nyingine yana gusa kazi zetu .”[23][24] Jimmy Wales alikubaliana na mwendesha mjadala Mary Gardiner, ambaye ni mwanzilishi wa Ada Initiative, kwamba Wikimedia iongeze kiwango cha wahariri wanawake. Mary Gardineraliendelea kusemaa kwamba mradi huu utaleta mabadiliko katika jamii, hata kama si mradi wa uanaharakati, jamii ya Wikipedia inao wajibu katika mipango yake yote kwa watu popote pale duniani kwa kuwa tayari kuongeza namba ya mashirika mbalimbali kama miavuli ya wikipedia duniani pote.”[25][26]

Hong Kong Wikimania 2013

[hariri | hariri chanzo]
Logo of the Wikimania 2013 conference, to be held in Hong Kong.

Wikimania 2013 itafanyika tarehe 7-11 July 2013 katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Polytechnic, Hong Kong. Awali kulikuwa na michuano baina ya London (UK), Bristol (UK), Naples (Italy) na Surakarta (Indonesia), ambapo Hong kong ilishinda.

Ufalme wa Muungano Wikimania 2014

[hariri | hariri chanzo]

For Wikimania 2014, bidding officially opened in December 2012. Official bids have been given for London (United Kingdom) and Arusha (Tanzania), with London being chosen the winner in May, 2013.

Mexiko Wikimania 2015

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 The Many Voices of Wikipedia, Heard in One Place. New York Times, August 7, 2006.
  2. 2.0 2.1 2.2 "katika jiji la Taipei, Wikipedians Talk Wiki Fatigue, Wikiwars na Wiki Bucks". New York Times. Noam Cohen, Saul Hansell (ed). August 3, 2007.
  3. 3.0 3.1 James Gleick, Wikipedians Leave Cyberspace, Meet in Egypt, Wall Street Journal, August 8, 2008.
  4. Doccheck.com. Website.
  5. [1]. Reason Magazine. August 15, 2006.
  6. Hotuba ya Jimmy Wales' Wikimania 2006 Ilihifadhiwa 20 Oktoba 2013 kwenye Wayback Machine. (MP3). supload.com.
  7. 7.0 7.1 Noam Cohen, Wikipedia Goes to Alexandria, Home of Other Great Reference Works, New York Times, July 17, 2008.
  8. " kuna kugomea mkutano wa Wikimania 2008?". Los Angeles Times. July 2008.
  9. "In Egypt, Wikipedia is more than hobby". International Herald Tribune. July 21, 2008.
  10. Spreading the wiki footprint, BBC, July 23, 2008.
  11. Avigayil Kadesh (Julai 14, 2011). "Israel hosts Wikimania 2011". mfa.gov.il. Wizara ya mambo ya nje ya Israeli. Iliwekwa mnamo Oktoba 2, 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. 12.0 12.1 {{cite news|url=http://it.themarker.com/tmit/article/16395%7Ctitle=Wikimania Wakati mkutano ukiwa katika hali ya kusisimua washiriki walitangaziwa kwamba mwanzilishi wa Wikipedia atazungumza kesho yake yaani siku inayofuata|work=TheMarker|tarehe=5, August 2011|mtunzi=[[w:Levin, Verony|6=Levin, Verony|accessdate=August 12, 2011|archiveurl=https://web.archive.org/web/20111006082831/http://it.themarker.com/tmit/article/16395%7Carchivedate=2011-10-06}} (Kiebrania)
  13. Wikimania hits Israel as conference opens Ilihifadhiwa 12 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.. The Jewish Chronicle (2011-08-05). Retrieved on April 20, 2012.
  14. Aliyana Traison, Wales-Waisrael-Wapalestina-ni-mjadala-mkali-lakini-sisi-tulisimama-bila kuwa na upande-1.377207 Wikipedia founder: Israel-Palestine is heavily debated, but we're vigilant on neutrality}}, Haaretz, August 5, 2011.
  15. Kama weledi haujarekodiwa je utaendelea kuwepo??, New York Times
  16. "Israel Philatelic Federation". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-20. Iliwekwa mnamo 2013-04-04.
  17. Yaron, Oded. (2008-04-02) Wikipedia leaders outline their vision as conference opens in Haifa. Haaretz.com. Retrieved on April 20, 2012.
  18. Haifa imeandaa Mkutano wa wikimania. Ynetnews.com (1995-06-20). Retrieved on April 20, 2012.
  19. U.S. Department of State Hosts Tech@State:Wiki.Gov Conference, press release issued by U.S. Department of State on July 9, 2012.
  20. Wikipedia hits defining moment in social Web era Agence France-Presse, July 14, 2012
  21. Hayley Tsukayama,Wikimania hits D.C. as Wikipedia faces changes, Washington Post, July 14, 2012.
  22. Robinson Meyer, 3 Charts zikionyesha namna utawala wa wikipedia unavyosonga mbele, The Atlantic, July 16, 2012.
  23. Jennifer Martinez, Wikipedia co-founder: Officials 'afraid' when our site goes dark Ilihifadhiwa 27 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine., The Hill, July 12, 2012.
  24. Jason Koebler, Wikipedia Open to Future Blackout Protests of SOPA-Like Bills, U.S. News and World Report, July 12, 2012 .
  25. Amar Toor, Jimmy Wales, Mary Gardiner akiwahutubia washiriki wa wikipedia juu ya pengo lililopo la kijinsia katika mikutano ya Wikimania, The Verge, July 15, 2012.
  26. Wikimania 2012 tackles diversity issues, Wikinews, July 14, 2012.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Ilihifadhiwa 8 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.

Wikimedia Commons ina media kuhusu: