Visenti Madelgari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Visenti Madelgari

Visenti Madelgari (pia: Mauger; labda Hainaut, 610 hivi [1] - Soignies, leo nchini Ubelgiji, 677 hivi), alikuwa Mkristo aliyeanzisha monasteri mbili akawa abati.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai[2].

Familia ya Wat. Visent na Vatrude.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Alimuoa Vatrude [3] aliyemzalia watoto 4 (Landeriki, Dentelini, Aldetruda na Madelberta), ambao wote nane ni watakatifu[4][5].

Watoto walipokuwa wamekua, alitawa kwa kibali cha mkewe ambaye pia anaheshimiwa kama mtakatifu [6].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.