Utengule
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Utengule ni jina la sehemu mbili tofauti katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania:
- Utengule Usongwe katika wilaya ya Mbeya Vijijini takriban 17 km kutoka Mbeya upande wa kusini-magharibi.
- Utengule Usangu katika wilaya ya Mbarali.
Utengule zote mbili zina uhusiano wa Kihistoria zilikuwa makao makuu ya chifu Merere II wa Wasangu aliyehamisha boma lake 1877 kutoka Usangu kwenda Usafwa kutokana na mashambulio ya Wahehe na kuita boma jipya tena "Utengule"..