Mbarali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Mbarali)
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Mbarali (kijani) katika mkoa wa Mbeya.

Wilaya ya Mbarali ni wilaya moja ya Mkoa wa Mbeya. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 234,908 [1].

Utawala [hariri]

Katika wilaya hii kuna kata zifuatazo:

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya MbaraliMkoa wa Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chimala | Igurusi | Madibira | Mahongole (Mbarali) | Mapogoro | Mawindi | Msangaji | Ruiwa | Rujewa | Ubaruku | Utengule Usangu


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbarali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.