Uislamu nchini Nigeria
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Nigeria una idadi kubwa ya waumini kuliko nchi yoyote ile katika Afrika Magharibi. Utafiti wa kituo cha Pew Research Center unakadiria kuwa upo kati ya asilimia 48.5 (2010)[1] na 50.4% (2009).[2][3] Kina CIA wanakadiria kuwa asilimia 50[4] wakati BBC wanakadiria kati ya asilimia 50 (2007).[5]
Waislamu wa Nigeria ni wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki, ambao pia hufuata utawala wa sheria ya Kiislamu, yaani, Sharia.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Waislamu kwa jimbo nchini Nigeria
[hariri | hariri chanzo]Kanda | Jimbo | Idadi ya wakazi | Waislamu % | Idadi ya Waislamu | jumla ya kikanda |
---|---|---|---|---|---|
Kanda ya Kaskazini | 1- Sokoto | 3,696,999 | 98.9 % | 3,656,332 | 92,28 % |
2- Zamfara | 3,259,846 | 98.9 % | 3,223,987 | ||
3- Jigawa | 4,348,649 | 98 % | 4,261,676 | ||
4- Kano | 9,383,682 | 98 % | 9,196,008 | ||
5- Yobe | 2,321,591 | 94.8 % | 2,200,868 | ||
6-Katsina | 5,792,578 | 95 % | 5,502,949 | ||
7- Borno | 4,151,193 | 98 % | 4,068,169 | ||
8- Kebbi | 3,238,628 | 90 % | 2,914,765 | ||
9- Bauchi | 4,676,465 | 90 % | 4,208,818 | ||
10- Gombe | 2,353,879 | 80 % | 1,883,103 | ||
11- Niger | 3,950,249 | 80 % | 3,160,199 | ||
12- Kaduna | 6,066,562 | 80 % | 4,853,249 | ||
Kanda ya kati | 13-Adamawa | 3,168,101 | 90% | 2,851,291 | 80% |
14-Taraba | 2,300,736 | 55 % | 1,265,405 | ||
15-Benu | 4,219,244 | 2,8 % | 118,139 | ||
16-Plateau | 3,178,712 | 30% | 953,613 | ||
17-Nassaraw | 1,863,275 | 70% | 1,304,292 | ||
18-Kogi | 3,278,487 | 85% | 2,786,714 | ||
19-Kwara | 2,371,089 | 85% | 2,015,425 | ||
20- Abuja | 1,405,201 | 80% | 1,124,161 | ||
Majimbo ya Magharibi | 21-Oyo | 5,591,589 | 70 % | 3,914,112 | 49,94% |
22- Ogun | 3,728,098 | 65% | 2,423,264 | ||
23- Osun | 3,423,535 | 70% | 2,396,474 | ||
24- Lagos | 9,013,534 | 65 % | 5,858,797 | ||
25- Ondo | 3,441,024 | 30 % | 1,032.307 | ||
26- Ekiti | 2,384,212 | 30 % | 715,263 | ||
27- Edo | 3,218,332 | 30 % | 965,499 | ||
28- Delta | 4,098,391 | 3% | 122,952 | ||
Majimbo ya Kusini | 29-Anambra | 4,182,032 | 3 % | 125,461 | 2,417 % |
30- Enugu | 3,257,298 | 2 % | 65,146 | ||
31- Cross River | 2,888,966 | 3% | 86,669 | ||
32- Ebonyi | 2,173,501 | 1 % | 21,735 | ||
33- Rivers | 5,185,400 | 3 % | 155,562 | ||
34- Abia | 2,833,999 | 2 % | 56,680 | ||
35- Akwa Ibom | 3,920,208 | 0% | 0 | ||
36- Bayelsa | 1,703,358 | 8 % | 136,269 | ||
37- Imo | 3,934,899 | 2 % | 79,698 | ||
total | 140,003,542 | 56,931 % | 79,705,051 |
Idadi ya Waislamu kwa asili ya makundi ya watu nchini Nigeria
[hariri | hariri chanzo]Hakuna makubaliano ya kutunga au kutunza taarifa za waumini wa dini nchini Nigeria. Hata hivyo, Joshua Project, jamii ya kichungaji ya Wainjilisti yenye kituo chake nchini Marekani maarufu kama World Mission, inatoa takwimu zake yenyewe juu ya wingi wa Waislamu kiasili nchini humo kama ifuatavyo:[6]
- Wahausa (27,000,000)
- Wayoruba (14,000,000)
- Wakanuri (6,500,901)
- Wafulani (20,000,000)
- Waegbira (1,450,000)
- Wanupe ( 1,430,000)
- Wabade (309,235)
- Wasonghai (259,429)
- Waarabu, Washuwa (204,890)
- Wabura (111,823)
- Waigala (301,350)
- Wazarma (76,911)
- Wabariba (65,808)
- Waesan (61,529)
- Wagbari, East (40,639)
- Wagun (29,373)
- Watuareg (23,442)
- Chamba Daka (17,546)
- Waarabu, Wasyria, Wasomali (11,722)
- Wamaguzawa (11,721)
- Wamisri (651)
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mapping The Global Muslim Population" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-08-05. Iliwekwa mnamo 13 Machi 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Mapping the Global Muslim Population
- ↑ "Global Christianity: A Report on the Size and Distribution of the World's Christian Population" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2013-07-23. Iliwekwa mnamo 2011-12-29.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "CIA – The World Factbook – Nigeria". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-31. Iliwekwa mnamo 2016-06-23.
- ↑ BBC: "Nigeria: Facts and figures" April 7, 2007
- ↑ Joshua Project: "Nigeria" retrieved October 19, 2015