Uislamu nchini Mauritius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Mauritius na taasisi zake unakadiriwa kuwa asilimia 17.3 ya idadi yote ya wakazi nchini humo.[1]

Waislamu wengi wa Mauritius ni wale wenye asili ya India; hata hivyo, kuna idadi kubwa inayoongezeka hasa ya wale wanaobadili dini na kwenda Uislamu katika idadi ya jamii ijulikanayo kama Kreole na wengine kutoka Sino vilevile wale wenye asili ya Kichina. Ubadilishaji huu umesukuma jumuia za Kiislamu na kupanua wigo wa utamaduni wake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Resident population by religion and sex". Statistics Mauritius. uk. 68. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-16. Iliwekwa mnamo 1 November 2012.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]