The Princess and the Frog
Mandhari
The Princess and the Frog | |
---|---|
Imeongozwa na | Ron Clements John Musker |
Imetayarishwa na | Peter Del Vecho John Lasseter (Executive producer) |
Imetungwa na | Ron Clements John Musker Rob Edwards (Screenplay) Ron Clements John Musker Greg Erb Jason Oremland Don Hall (Story) |
Nyota | Anika Noni Rose Bruno Campos Keith David Michael-Leon Wooley Jim Cummings Jenifer Lewis John Goodman Oprah Winfrey Jennifer Cody Peter Bartlett Terrence Howard |
Muziki na | Randy Newman |
Imehaririwa na | Jeff Draheim |
Imesambazwa na | Walt Disney Pictures |
Imetolewa tar. | Novemba 25, 2009 (Los Angeles premiere) Desemba 11, 2009 |
Ina muda wa dk. | Dk. 97 |
Nchi | Marekani |
Lugha | Kiingereza |
Bajeti ya filamu | $105 million[1] |
Mapato yote ya filamu | $269,312,336[2] |
The Princess and the Frog ni filamu ya katuni-muziki ya Kimarekani ya mwaka wa 2009 iliyotayarishwa na Walt Disney Feature Animation na kutolewa na Walt Disney Pictures tarehe 11 Desemba 2009. Hii ni filamu ya 49 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics, na ilikuwa ya kwanza kutolewa na Disney kwa upande wa katuni tangu mwaka wa 2004 ilipotoa filamu ya Home on the Range.
Nyota wa filamu hii waliotia sauti zao ni pamoja na Anika Noni Rose, Oprah Winfrey,[3] Keith David, Jim Cummings, John Goodman, Jenifer Lewis, Bruno Campos, Michael-Leon Wooley, Peter Bartlett na Terrence Howard.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wigler, Josh (14 Desemba 2009). "'The Princess And The Frog' Leaps Over The Competition At The Box Office". MTV.com. Viacom. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-23. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2010.
[...]cost Disney $105 million to produce[...]
- ↑ "The Princess and the Frog (2009) – Box Office Mojo". Box Office Mojo. IMDb. Iliwekwa mnamo 21 Machi 2010.
- ↑ "Breaking: Oprah Winfrey Joins Voice Cast Of 'The Princess and the Frog'". MTV. Viacom. 24 Septemba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-26. Iliwekwa mnamo 31 Januari 2009.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi ya The Princess and the Frog
- (Kiingereza) The Princess and the Frog katika Allmovie
- The Princess and the Frog at the Internet Movie Database
- The Princess and the Frog katika Rotten Tomatoes
- The Princess and the Frog katika Sanduku la Ofisi la Mojo
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Princess and the Frog kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |