Sylvie Lubamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sylvie Lubamba

Sylvie Lubamba, 2018
Amezaliwa 29 Februari 1972 (1972-02-29) (umri 52)
Firenze, Italia

Renée Sylvie Lubamba (amezaliwa tarehe 29 Februari 1972) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia.

Lubamba alizaliwa huko Firenze na wazazi kutoka Kinshasa (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo).

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvie Lubamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.