Shaurimoyo (Zanzibar)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa

Shaurimoyo ni kata ya Jiji la Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 5,597 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,259 waishio humo. [2]

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Asilimia kubwa ya wakazi wa kata ya Shaurimoyo ni watu wenye asili ya Mikoa ya Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja, lakini kutokana na soko huria la ajira katika kata hiyo kumekua na wimbi kubwa la wahamiaji kutoka Tanzania bara ambao wanafanya kazi hotelini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz, uk. 245
  2. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002." (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-18. 
Kata za Wilaya ya Mjini Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania

Amani | Banko | Chumbuni | Gulioni | Jang'ombe | Karakana | Kidongo Chekundu | Kikwajuni Bondeni | Kikwajuni Juu | Kilimahewa Bondeni | Kilimahewa Juu | Kilimani | Kiponda | Kisimamajongoo | Kisiwandui | Kwaalimsha | Kwaalinatu | Kwabintiamrani | Kwahani | Kwamtipura | Kwamtumwajeni | Kwa Wazee | Magomeni | Makadara | Malindi | Mapinduzi | Maruhubi | Masumbani | Matarumbeta | Mboriborini | Mchangani | Meya | Miembeni | Migombani | Mikunguni | Mitiulaya | Mkele | Mkunazini | Mlandege | Mnazimmoja | Mpendae | Muembeshauri | Muembetanga | Muungano | Mwembeladu | MwembeMadema | Mwembemakumbi | Nyerere | Rahaleo | Saateni | Sebleni | Shangani | Shaurimoyo | Sogea | Urusi | Vikokotoni


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Shaurimoyo (Zanzibar) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.