Mlandege (Zanzibar)
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa
Mlandege ni kata ndani ya Jiji la Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 2,213 waishio humo. [1]
Marejeo [hariri]
- ↑ Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlandege (Zanzibar) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Mjini Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Amaani | Chumbuni | Gulioni | Jang'ombe | Karakana | Kidongo Chekundu | Kikwajuni Bondeni | Kikwajuni Juu | Kilimahewa | Kilimani | Kiponda | Kisima Majongoo | Kwaalamsha | Kwaalinato | Kwahani | Kwamtipura | Magomeni | Makadara | Malindi | Matarumbeta | Mchangani | Miembeni | Mikunguni | Mkele | Mkunazini | Mlandege | Mpendae | Muembe Ladu | Muembe Makumbi | Muungano | Mwembeshauri | Mwembetanga | Nyerere | Rahaleo | Sebleni | Shangani | Shaurimoyo | Sogea | Urusi | Vikokotoni |
||
Mlandege ni ni kata ndani wilaya ya mjini ambayo ndiyo makao makuu ya zanzibar. ni maarufu kwa shughuli za biashara na wengi waliifahamu wakati huo kama ni kitovu cha biashara ya mitumba. maeneo ya mlandege na makaazi yake ni ya mchanganyiko wa maduka ya biashara na makaazi na wengi miongoni mwa watu waishio maeneo hayo ni wafanyabiashara. kata hiyo imezungukwa na mitaa ya kwahajitumbo, michenzani, mchangani, na malindi.