Karakana (Zanzibar)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karakana ni kata ya Jiji la Zanzibar katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Tanzania. Jina linatokana na uwepo wa karakana kuu ya serikali.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 6,185 waishio humo. [1]

Karakana ni miongoni mwa shehia zilizomo ndani ya wilaya ya Mjini Unguja. Pia ni miongoni mwa shehia sita zinazounda jimbo la Chumbuni ambalo linaongozwa na Mbunge Ussi Salum Pondeza na Mwakilishi Miraji Khamis Mussa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-03-18.
Kata za Wilaya ya Mjini Unguja - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania

Amani | Banko | Chumbuni | Gulioni | Jang'ombe | Karakana | Kidongo Chekundu | Kikwajuni Bondeni | Kikwajuni Juu | Kilimahewa Bondeni | Kilimahewa Juu | Kilimani | Kiponda | Kisimamajongoo | Kisiwandui | Kwaalimsha | Kwaalinatu | Kwabintiamrani | Kwahani | Kwamtipura | Kwamtumwajeni | Kwa Wazee | Magomeni | Makadara | Malindi | Mapinduzi | Maruhubi | Masumbani | Matarumbeta | Mboriborini | Mchangani | Meya | Miembeni | Migombani | Mikunguni | Mitiulaya | Mkele | Mkunazini | Mlandege | Mnazimmoja | Mpendae | Muembeshauri | Muungano | Mwembeladu | MwembeMadema | Mwembemakumbi | Mwembetanga | Nyerere | Rahaleo | Saateni | Sebleni | Shangani | Shaurimoyo | Sogea | Urusi | Vikokotoni


Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karakana (Zanzibar) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.