Scarlet Ortiz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Scarlet Ortiz
Amezaliwa Hevis Scarlet Ortiz Pacheco
12 Machi 1974 (1974-03-12) (umri 38)
Flag of Venezuela.svg Caracas, Venezuela
Kazi yake Mwigizaji

Hevis Scarlet Ortiz Pacheco (amezaliwa tar. 12 Machi, 1974, Caracas, Venezuela) ni muigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Venezuela. Anafahamika zaidi kwa jina la Camila Montes de Alba katika tamthilia ya "Todo Sobre Camila" iliyochezwa katika nchi mbili tofauti kati ya Peru na Venezuela.

Ortiz pia ameigiza tamthilia nyingi ukiacha ile ya Todo Sobre Camila, moja kati ya tamthilia alizoigiza kama vile Mi Vida Eres Tu iliyochezwa mwaka 2006 nchini Venezuela, Todos Quieren con Marilyn iliyochezwa nchini Kolombia na Secreto de Amor iliyochezwa nchini kwao huko Venezuela.

[hariri] Muhtsari wa Tamthilia Alizoigiza

  1. Mi Vida Eres Tu - 2006, Venezuela-USA
  2. Todos Quieren con Marilyn - 2004, Colombia
  3. Todo Sobre Camila - 2002, Peru-Venezuela
  4. Secreto de Amor - 2001, Venezuela-USA
  5. Mis Tres Hermanas - 2000, Venezuela
  6. Yo Soy Betty la Fea - 1999, Colombia
  7. Niña Mimada - 1998, Venezuela
  8. Luisa Fernanda - 1998, Venezuela
  9. Llovizna - 1997, Venezuela

[hariri] Viungo vya Nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine