Rutongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Rutongo,Rwanda


Jiji la Rutongo
Jiji la Rutongo is located in Rwanda
Jiji la Rutongo
Jiji la Rutongo

Mahali pa mji wa Rutongo katika Rwanda

Majiranukta: 1°49′03″S 30°03′33″E / 1.81750°S 30.05917°E / -1.81750; 30.05917
Nchi Rwanda
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 50.000[1]

Rutongo ni mji ulioko katikati ya Rwanda kwenye umbali wa karibu km 10 (maili 8) tu kutoka mji mkuu wa Rwanda, Kigali.

Iko karibu sana na mstari wa ikweta kwenye kimo cha m 1579 juu ya UB. Hali ya hewa ni ya wastani: hakuna baridi kali wala joto kali.[2][3]

Kuna seminari ya awali ya Kanisa Katoliki.[4]; [5]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Centro nutrizionale in Rwanda". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-02. Iliwekwa mnamo 2019-06-02. 
  2. Rwanda, le mythe des mots
  3. "Rutongo Mines: History". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-07. Iliwekwa mnamo 2019-06-02. 
  4. eglisecatholiquerwanda.org
  5. Rwanda, le mythe des mots - Conférence épiscopale du Rwanda

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rutongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.