Rupia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rupie)
Rukia: urambazaji, tafuta
Robo rupie ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani ("Deutsch Ostafrika")

Rupia ni jina la pesa inayotumika leo India na nchi mbalimbali za Asia. Ni pia jina la pesa iliyowahi kutumika Afrika ya Mashariki na nchi mbalimbali.

Jina na historia[hariri]

Neno "rupia" limetokana na lugha ya kihindi ya kale "rūp" au "rūpā" linalomaanisha "fedha". Katika lugha ya Sanskrit "rupyakam" (रूप्यकम्) inamaanisha sarafu ya fedha. Hii ni asili ya "Rūpaya" iliyotumika katika India kama sarafu yenye gramu 178 za fedha tangu 1540 . Rupia moja ilikuwa na 16 Anna, 64 Paisa au 192 Pai.

Pesa ya kisasa[hariri]

Leo hii nchi zifuatazo zinatumia jina la Rupia (Rupiah, Rupee: ₨) kwa pesa zao:

Pesa ya kihistoria[hariri]

Rupia ilikuwa kihistoria pesa ya nchi na maeneo yafuatayo: