Nzige
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nzige | ||||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nzige mwekundu, Nomadacris septemfasciata
|
||||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||
|
Nzige ni jamii ya panzi wenye uwezo wa kujikusanya kwenye makundi makubwa na kuruka umbali mrefu kwa pamoja. Nzige wanapokuwa wametawanyika mmoja mmoja huishi kama panzi wa kawaida. Wanapozaliana na kuongezeka idadi hujikusanya katika makundi. Makundi ya tunutu husafiri kuelekea upande mmoja na kula majani wanakopitia. Makundi ya nzige wakubwa huweza kufikia idadi zaidi ya bilioni na huruka umbali mrefu na kuharibu mazao wanakotua.
[hariri] Spishi za Afrika
- Anacridium melanorhodon
- Anacridium m. melanorhodon, Nzige-miti wa Kisaheli (Sahelian Tree Locust)
- Anacridium m. arabafrum, Nzige-miti wa Kiarabu (Sahelian Tree Locust)
- Anacridium wernerellum, Nzige-miti Mabawa-meusi (Sudanian Tree Locust)
- Dociostaurus maroccanus, Nzige wa Maroko (Moroccan Locust)
- Locusta migratoria, Nzige msafiri (Migratory Locust)
- Locustana pardalina, Nzige kahawia (Brown Locust)
- Nomadacris septemfasciata Nzige mwekundu (Red Locust)
- Schistocerca gregaria, Nzige-jangwa (Desert Locust)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Calliptamus italicus (Italian Locust)
- Chortoicetes terminifera (Australian Plague Locust)
- Nomadacris succincta (Bombay Locust)
- Schistocerca americana (American Locust)
[hariri] Picha
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nzige kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |