Nil Sorsky
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nil Sorsky (takriban 1433 – 1508) alikuwa mmonaki kutoka nchi ya Urusi. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nikolay Maykov.
Aliandika vitabu vya maisha ya kiroho.
Ametambuliwa kuwa mtakatifu ndani ya Kanisa la Kiorthodoksi, hasa kule Urusi.
Viungo vya nje [hariri]
- Webpage on Nil Sorsky
- Saint Nil Sorsky in French, with rich iconography & hymnography (saint Nil de la Sora, avec riche iconographie & hymnographie)
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nil Sorsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |