Ndege mwenye miguu mitatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ndege mwenye miguu mitatu katika Korea ya zamani.

Ndege mwenye miguu mitatu ni ndege anayehadithiwa katika hadithi za Mashariki mwa bara la Asia.

Inaaminika na watu wa Asia Mashariki kwamba kiumbe huyo anakaa kwenye Jua na pia analiwakilisha.

Pia amepatikana katika sarafu za Lycia na Pamfilia (leo nchini Uturuki).

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ndege mwenye miguu mitatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.