Mto Marne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta


Marne
{{{maelezo_ya_picha}}}
{{{maelezo_ya_picha}}}
Chanzo Champagne-Ardenne
Mdomo Seine
Nchi {{{nchi}}}
Urefu 514 km
Kimo cha chanzo {{{kimo}}}
Tawimito {{{ tawimito}}}
Tawimito upande wa kulia {{{ tawimito kulia }}}
Tawimito upande wa kushoto {{{ tawimito kushoto}}}
Mkondo {{{mkondo}}}
Eneo la beseni {{{eneo}}}
Idadi ya watu wanaokalia beseni {{{watu}}}
Miji mikubwa kando lake {{{miji}}}

Marne ni mto katika Ufaransa, mto mdogo wa uoande wa kulia wa Seine katika eneo la mashariki na kusini ya Paris. Una urefu wa 514 kilometres (319 mi) .[1] Mto ulipatia jina lake kidara za Haute-Marne, Marne, Seine-et-Marne, na Val-de-Marne.

Kisiwa katika mto Marne karibu na Chelles

Mto Marne unaanza katika platuu ya Langres , unatiririka kuelekea kaskazini kisha unaelekea magharibi kati ya Saint-Dizier na Châlons-en-Champagne, na kuunga Seine katika Charenton katika Paris. Katika kanda la Champagne sehemu ya maji huongozwa katia ziwa la kujengwa na binadamu la Lac du Der-Chantecoq, ili kudhibiti mtiririko wa maji. Kaw njia hii kiwango cha maji cha chini huzuiwa.[2]

Mto Marne ulikuwa eneo la vita viwili wakati wa Vita vya Kwanza vya Dunia. Vita ya kwanza vilikuwa mgeuko wa Vita vya Kwanza vya Dunia World katika mwaka wa 1914. Vita vya pili vilipiganwa miaka minne baadaye, katika mwaka wa 1918.

MapMarne.jpg

Katika karne ya 19 na 20, Marne ulipendeza wachoraji wasanii wengi miongoni mwao ni:

[hariri] Idara na miji kuu iliyovukwa na mto huu

Ufuko wa Marne katika Noisy-le-Grand


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

[hariri] Marejeo

  1. The Marne at the Sandre database (French).
  2. Apprivoiser la Marne (French). Rudishwa juu ya 2006-06-02.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine