Mhozo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mhozo
Mhozo utosi-mweupe
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia: Muscicapidae (Ndege walio na mnasaba na shore)
Nusufamilia: Saxicolinae (Ndege walio na mnasaba na mihozo)
Jenasi: Oenanthe Vieillot, 1816

Saxicola Bechstein, 1802

Spishi: Angalia katiba

Mihozo ni ndege wa jenasi Oenanthe na Saxicola. Zamani wataalamu waliwaweka katika familia ya mikesha (Turdidae), lakini siku hizi mihozo huainiwa baina ya shore (Muscicapidae). Mihozo wana mabaka maalum meusi na meupe au mekundu na meupe kwa kiuno na mkia wao mrefu. Ndume ni maridadi kuliko jike. Hukaa chini na hula wadudu. Wanatokea nyanda kavu katika Afrika, Ulaya na Asia. Spishi zinazozaa katika nchi za kaskazini huhamia Afrika wakati wa baridi. Hujenga matago yao ndani ya mianya ya miamba au vishimo visivyotumika.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine