Mabatini (Mbeya mjini)
Kata ya Mabatini | |
Mahali pa Mabatini katika Tanzania |
|
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Mbeya |
Wilaya | Mbeya Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 6,872 |
Mabatini ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.
Eneo la Mabatini liko kati ya kitovu cha kale cha Mbeya na kitovu kipya kwenye eneo la Forest. Soko la Matola pamoja na shule ya sekondari ya Meta ni sehemu ya Mabatini.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 6,872 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,415 [2] walioishi humo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.nbs.go.tz
- ↑ "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania | ||
---|---|---|
Forest • Ghana • Iduda • Iganjo • Iganzo • Igawilo • Ilemi • Ilomba • Isanga • Isyesye • Itagano • Itende • Itezi • Itiji • Iwambi • Iyela • Iyunga • Iziwa • Kalobe • Maanga • Mabatini • Maendeleo • Majengo • Mbalizi Road • Mwakibete • Mwasanga • Mwasenkwa • Nonde • Nsalaga • Nsoho • Nzovwe • Ruanda • Sinde • Sisimba • Tembela • Uyole |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mabatini (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |